Ruka hadi maudhui

Bei nyepesi na ya wazi

Kuanza ni bure kabisa. Premium ni kwa wanaotaka miundo yote — lipa kwa simu, hakuna kadi.

Bure

TSh 0

  • Jenga CV na upakue PDF
  • Kiingereza na Kiswahili
  • Kikagua CV (ATS)
  • Barua za maombi na kadi za biashara
Anza bure

Premium

Kuanzia TSh 1,000 / siku

Lipa unapotafuta kazi. Ukipata, unaacha.

  • Kila kitu cha bure
  • Miundo YOTE ya kitaalamu (premium)
  • Hakuna alama ya maji
  • Unasaidia bidhaa ya Kitanzania

Malipo kwa njia ya simu (M-Pesa, Airtel, Tigo, Halopesa). Unaweza kughairi wakati wowote.