Ruka hadi maudhui

Pakua Sumaiya

App ya Android — bure. CV, barua za maombi na kutafuta kazi, mkononi mwako.

Pakua app — ni bure

Android · APK · v1.6.23 · haina gharama

Jinsi ya kusakinisha

  1. 1Bofya Pakua app hapo juu. Faili sumaiya.apk litaanza kupakuliwa.
  2. 2Likiisha, fungua faili — kutoka kwenye arifa, au folda ya Downloads.
  3. 3Android itaonyesha onyo: “Kwa usalama, simu imezuia kusakinisha app kutoka chanzo hiki.” Hii ni kawaida kwa app zisizotoka Play Store — si kwamba app ina hatari.
  4. 4Bofya Mipangilio (Settings), kisha washa “Ruhusu kutoka chanzo hiki”.
  5. 5Rudi nyuma, bofya Sakinisha (Install).
  6. 6Ikiwa Play Protect itaonya, bofya “Sakinisha hata hivyo” (Install anyway).
  7. 7Fungua Sumaiya — anza bure.

Kwa nini onyo hili? Sumaiya bado haijawekwa Play Store, kwa hiyo Android huonya kila app inayopakuliwa moja kwa moja. Si ishara ya hatari — app ni salama, na data yako ni yako. Tutakuwa Play Store hivi karibuni.

Hutaki kupakua? Itumie moja kwa moja kwenye kivinjari — tengeneza CV bure.